Nguo na Sare za shule
Tshs. 105,000 kwa muhula x idadi ya watoto 160
Jumla = Tshs. 16,800,000/=
Tunahitaji Marafiki 10,000 wataochangia Tshs 1,680/= kila mwezi
Gharama za Elimu
Tshs. 500 ,000 kwa muhula x tunalipa mara 4 x idadi ya watoto 160
Jumla = Tshs.320,000,000/=
Tunahitaji Marafiki 100,000 wataochangia Tshs 3,200 kila mwezi
Gharama za Matibabu
Tshs. 50,400 kwa mwaka x idadi ya watoto 160
Jumla = Tshs. 8,064,000/=
Tunahitaji Marafiki 10,000 wataochangia Tshs . 807/= kila mwezi
Gharama za Chakula kwenye nyumba za SOS
Tsh. 30,000 kwa mwezi x miezi 12 x 500 idadi ya watoto
Jumla = Tshs. 180,000,000/=
Tunahitaji Marafiki 20,000 wataochangia Tshs. 2,628 kila mwezi
Gharama za kusaidia watoto walioko majumbani (FSP)
Tsh. 20,000 kwa mwezi x miezi 12 x idadi ya watoto 500
Jumla = Tshs.120,000,000/=
Tunahitaji Marafiki 20,000 wataochangia Tshs 6,000/= kila mwezi
NB - Kila Rafiki atakuwa huru kutoa msaada wa aina yoyote kwa kundi lolote na atafanya maamuzi binafsi katika kutoa msaada huo, ni hiari yake kutoa hela na kitu halisi, kwa waliotayari pia kwa kutusaidia huduma za shule na huduma za matibabu wanaweza kutoa msaada huo moja kwa moja kwa watoa huduma wetu kama shule na ofisi za bima ya afya.
"Asanteni sana tunathamini mchango wenu"
No comments:
Post a Comment